Updated 2 siku ago

Ninawezaje kuangalia mapato yote ya albamu yangu?

Chagua albamu yako kwenye kichupo cha Manage Music. Hapo utapata muhtasari wa jumla ya utiririshaji wako (total streams), jumla ya upakuaji (total downloads), mapato kabla ya makato (gross revenue), na mapato halisi (net revenue) yaliyoainishwa kwa sarafu.

Was this article helpful:
0 readers found this helpful
Previously Viewed